Published On: Mon, May 15th, 2017
Sports | Post by jerome

JURGEN KLOPP: SIO RAHISI KUICHAPA MIDDLESBROUGH

Share This
Tags

Meneja JURGEN KLOPP wa Liverpool amesema hawatakuwa ‘wajinga’ kwa kudhani kwamba wataichapa kwa urahisi Middlesbrough ili kujihifadhia nafasi ya kushiriki tena katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

The Reds wana matarajio ya kuwa miongoni mwa timu nne bora iwapo wataipiku Boro ambayo ilishushwa daraja uwanjani Anfield Jumapili katika mechi ya mwisho msimu huu.

Arsenal ambao wamo katika nafasi ya tano, wana mchezo mmoja na wapo alama nne nyuma ya Liverpool.

Amesema amekuwa katika kazi hiyo kwa miaka mingi, hivyo kutambua makosa makubwa ni kuhesabu alama kabla ya kuzipata.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>