Published On: Thu, May 4th, 2017

ASILIMIA 26 YA MADAKTARI NCHINI WANAFANYA KAZI VIJIJINI

Share This
Tags

Asilimia 26 ya madaktari walioajiriwa nchini wanafanya kazi vijijini hali inayosababisha kuhudumia watu wengi kinyume na maelekezo ya shilika la afya duniani.

Akiwasilisha  taarifa ya kambi rasmi ya upinzani bungeni kuhusu wizara ya afya mbunge wa Bunda  ESTER BULAYA amesema hali hiyo inachangiwa na asilimia 74 ya madaktari  kufanya kazi katika hospitali na vituo vya afya vilivyopo mijini.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>