Published On: Wed, May 31st, 2017
Science | Post by jerome

Ashtakiwa kwa kubonyeza kitufe cha ‘Like’ Facebook nchini Uswisi

Share This
Tags

Mwanamume mmoja nchini Uswisi ajikuta matatani baada ya kubonyeza kitufe cha ‘Like’ katika maoni ya mmoja wa watumizi wa mtandao wa Facebook yaliyomshutumu mwanaharakati mmoja wa kutetea haki za wanyama kuwa mbaguzi .

Mahakama moja mjini Zurich nchini humo ilimfungulia mtu huyo wa miaka 45 mashtaka kwa madai kuwa ali ‘Like’ maoni ambayo ni ya uchochezi na ya kuharibu hadhi ya mtu kupitia mtandao wa kijamii.

Maoni hayo ya Facebook yaliandikwa mwaka 2015 ambapo kulikua na mjadala wa kuchagua wanyama ambao wangetumika katika hafla ya maonyesho ya wanyama .

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>