
Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kifo cha Philemon Ndesamburo
“Kwa masikitiko nimepokea taarifa za kifo cha Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini, Mzee wangu Philemon Ndesamburo kilichotokea leo tarehe 31 Mei, 2017 katika hospitali ya rufaa ya KCMC iliyopo Moshi Mkoani More...

CHADEMA YAOMBOLEZA MSIBA WA NDESAMBURO
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kimeeleza Kupokea Kwa Mshtuko Kifo cha Mwasisi wake, Mzee PHILEMON NDESAMBURO aliyefariki leo Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro. Mwenyekiti wa Chama More...

Maskini watumia pesa kununua sigara badala ya chakula, dawa na elimu- WHO
Matumizi ya tumbaku ni tishio kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, taifa na hata kanda mbalimbali, limesema shirika la afya ulimwenguni WHO hii leo katika maadhimisho ya siku ya kupiga marufuku matumizi ya tumbaku. Mathalani More...

Wahudumu wa afya wa kujitolea wapelekwa Bas-Ulele kukabili Ebola:UNICEF
Katika juhudi za kudhibiti mlipuko wa karibuni wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wahudumu wa afya 145 wa kujitolea kutoka shirika la chama cha msalaba mwekundu la DRC na wahudumu wa afya ya More...

Mahrez aomba kuondoka Leicester City
Kiungo wa Leicester City Riyad Mahrez amesema kuwa anataka kuondoka katika klabu hiyo. Mchezaji huyo mwenye miaka 26 aliyejiunga na klabu hiyo akitokea Le Havre ya Ufaransa kwa ada ya uhamisho wa paundi 400,000 More...

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa Ulaya
Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa barani Ulaya ikiwa na thamani ya Yuro bilioni 3 kulingana na kampuni ya biashara ya KPMG. Mabingwa hao wa kombe la Yuropa wanaongoza katika orodha ya thamani ya More...

Mcheshi aomba msamaha kwa picha ya ‘kichwa cha Trump kilichokatwa’
Mcheshi mmoja nchini Marekani ameomba msamaha kuhusu picha ambayo alionekana amebeba kichwa kilichokatwa kinachofanana na Donald Trump . Katika ujumbe wa kanda ya video iliochapishwa katika mtandao wa Twitter Kathy More...

Serikali Kutoa Kipaumbele Kwenye Sekta ya Uvuvi
Serikali imesema itaendelea Kutoa Kipaumbele Kwenye Sekta ya Uvuvi Kwa Kutekeleza Mikakati ya Kuwaendeleza Wavuvi Kupata Ajira na Lishe ili Wachangie Kwenye Pato la Taifa. Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, More...

Mlipuko mkubwa wa bomu watikisa mji mkuu wa Afghanistan; 80 wauawa, 300 wajeruhiwa
Mripuko mkubwa wa bomu lililotegwa garini umetikisika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul asubuhi ya leo na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 49 na kuwajeruhi wengine 300. Kwa mujibu wa maafisa wa serikali ya Afghanistan More...

Ashtakiwa kwa kubonyeza kitufe cha ‘Like’ Facebook nchini Uswisi
Mwanamume mmoja nchini Uswisi ajikuta matatani baada ya kubonyeza kitufe cha ‘Like’ katika maoni ya mmoja wa watumizi wa mtandao wa Facebook yaliyomshutumu mwanaharakati mmoja wa kutetea haki za wanyama More...