Published On: Thu, Apr 27th, 2017

WAONYWA KUTOUZA HOVYO MAHINDI KUEPUKA NJAA

Share This
Tags

Serkali Imewatahadharisha wananchi Mkoani Katavi kuwa Haitahusika Kutoa Msaada wa Chakula kwa yeyote atakekumbwa na baa la njaa kutokana na wananchi kuuza Mazao ya Mahindi kwa fujo huku mengine yakiwa bado hayajakomaa.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Rafael Mhuga wakati akitoa agizo kwa Madiwani wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi katika  Mkutano wa  tatu Kikao cha Robo ya Mwaka Baraza la Madiwani Manispaa ya Mpanda akiwatahadharisha wananchi kutoomba msaada wa chakula.

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>