Published On: Mon, Apr 10th, 2017
Sports | Post by jerome

MKUTANO TFF KUFANYIKA APRIL 12.

Share This
Tags

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kimekutana Jumapili Aprili 9, 2017 na miongoni mwa maamuzi yake kikao kimeamua kuwa Mkutano Mkuu wa TFF, utafanyika Jumapili ya Agosti 12, 2017.

Miongioni mwa ajenda katika mkutano huo, itakuwa ni uchaguzi mkuu wa TFF.

Kwa mujibu wa Katiba, uchaguzi huo utachagua Rais wa TFF, Makamu Rais wa TFF na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>