Published On: Tue, Apr 4th, 2017
Sports | Post by jerome

MADRID YAWEKA REKODI YA PEKEE DUNIANI

Share This
Tags

Klabu ya Real Madrid imeweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza duniani kuweza kufikisha idadi ya mashabiki milioni 100 kwenye mtandao wa facebook.

Madrid ambao wanaongoza kwenye ligi kuu ya Hispania, La Liga hawakuchukua muda mrefu kwani mahasimu wao Barcelona nao waliweza kufikia idadi hiyo.

Mpaka sasa Madrid wana wafuasi milioni 100.5 mpaka sasa huku Manchester United inayoongoza Uingereza ikiwa na mashabiki milioni 73.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>