Date archive forApril, 2017
By jerome On Saturday, April 29th, 2017
0 Comments

VIJANA WILAYANI LUSHOTO WAWEZESHWA KIUCHUMI.

Vijana wa kata ya Mng’aro wilayani Lushoto Mkoani Tanga,wamepatiwa eneo la hekari kumi kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji wa vitunguu kwa kutumia mto Umba unaopitia katika eneo hilo. Tayari halmashauri ya More...

By jerome On Saturday, April 29th, 2017
0 Comments

Madiwani Geita waibana GGM

Madiwani wa halmahsuri ya Mji wa Geita wamesema watavunja mahusiano baina yao na Mgodi wa dhahabu wa  Geita (GGM) iwapo mgodi huo hautatekeleza ahadi zake kwa wananchi ikiwepo ahadi ya kujenga kituo cha Afya Mgusu. Wakizungumza More...

By jerome On Saturday, April 29th, 2017
0 Comments

KAMATI YA MIUNDOMBINU ZAMBIA YATEMBELEA DART

Wabunge wa Kamati ya miundombinu kutoka nchini Zambia wametembelea miundombinu ya mabasi yaendayo haraka nchini ili kuona namna ilivyofanikiwa kupunguza foleni na msongamano wa magari jijini Dares Salaam. Kutokana More...

By jerome On Saturday, April 29th, 2017
0 Comments

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI VIJIJINI.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inatambua umuhimu wa kuhakikisha wananchi kote nchini wanapata maji safi na salama kwa muda wote hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ili kuhakikisha More...

By jerome On Saturday, April 29th, 2017
0 Comments

Waziri Lukuvi awataka wananchi kurasimisha makazi yao

  Waziri wa ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi amezipa muda wa miezi miwili halmashauri za manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kukamilisha mpango wa kurasimisha makazi  yasiyo rasmi  51 More...

By jerome On Saturday, April 29th, 2017
0 Comments

RAIS MAGUFULI ATAKA HATI ZA UMILIKI ARDHI ZIWE ZA MIAKA 99 BADALA YA 33.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 29 Aprili 2017, ameuagiza Uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuunda kamati itakayoshughulikia suala la kubadilisha hati ya umiliki wa ardhi katika More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

WATUMISHI 9,932 WENYE VYETI FEKI KUFUKUZWA KAZI

Rais Dkt JOHN POMBE MAGUFULI ameagiza watumishi 9,932 waliobainika kuwa na vyeti feki kufukuzwa kazi na kuwachukulia hatua za kisheria pamoja na kusitisha mishahara kwa watumishi 3,076 wanaotumia cheti kimoja kwa More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

LENGAI OLE SABAYA WA UVCCM SASA YUKO HURU

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imetoa hukumu ndogo ya kesi ya aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Arusha (UVCCM) LENGAI OLE SABAYA  kwa kumuachia huru mshitakiwa baada ya upande wa Jamuhuri kushindwa More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

KOREA KASKAZINI YALAUMIWA KWA SILAHA BANDIA

Korea kaskazini inaluamiwa kwa kuonyesha silaha bandia katika maonyesho ya hivi karibuni ya ubabe wake wa kijeshi. Afisa wa zamani wa masuala ya ujasusi amesema baadhi ya bunduki na makombora yaliyotumiwa kwenye More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

WATOZWA FAINI YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC  limewatoza faini ya jumla ya shilingi milioni 20 wawekezaji wawili wa kilimo na ufugaji  wilayani Kilolo mkoani Iringa kwa makosa ya kuendesha shughuli More...