Published On: Thu, Mar 30th, 2017
Sports | Post by jerome

Sanamu ya kushangaza ya Cristiano Ronaldo yazinduliwa Ureno

Share This
Tags

Mashabiki wengi wa mchezo wa kandanda dniani wameshangazwa na sanamu ya mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambayo ilizinduliwa katika kisiwa cha Madeira nchini Ureno.

Sanamu hiyo ilizinduliwa wakati wa sherehe ya kuupa jina uwanja wa Madeira ambao sasa umekuwa Uwanja wa Cristiano Ronaldo.]

Wengi katika mitandao ya kijamii wanasema sanamu hiyo inafanana sana na nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland Niall Quinn badala Ronaldo.

Waziri mkuu wa Ureno alihudhuria sherehe hiyo ya kuupa jina uwanja huo wa Madeira na ndiye aliyezindua sanamu hiyo.

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>