Published On: Thu, Mar 2nd, 2017

NYUMBA ZA MAGOMENI COTTERS KUKAMILIKA MWEZI SEPTEMBA

Share This
Tags

Eng. Athu Chulla akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (wa pili kulia), mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), katika eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam. Pembeni kwa Naibu Waziri ni Mratibu wa Ujenzi wa nyumba hizo, Arch. Christina Shayo.

Mratibu wa Ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Christina Shayo (wa kwanza kushoto), akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba katika eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam.

Mafundi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), wakiendelea na ujenzi wa nyumba za wananchi katika eneo la Magomeni. Nyumba hizo zinatarajiwa kuhudumia kaya 656 zitakapokamilia Septemba mwaka huu.

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>