Date archive forMarch, 2017
By jerome On Friday, March 31st, 2017
0 Comments

WAZIRI WA ETHIOPIA AWASILI TANZANIA

 More...

By jerome On Friday, March 31st, 2017
0 Comments

TRUMP AWAPANIA AL SHABAB

 More...

By jerome On Friday, March 31st, 2017
0 Comments

Zuma amfukuza kazi waziri wa fedha Pravin Gordhan

 More...

By jerome On Thursday, March 30th, 2017
0 Comments

RUBANI AFARIKI NDANI YA NDEGE

Rubani amefariki kwenye ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque huko New Mexico, kwa mujibu wa shirika la American Airlines. Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia na karibu kilomita More...

By jerome On Thursday, March 30th, 2017
0 Comments

Waburundi watakiwa kurudi kwao!

Baada ya hali ya amani kurejea nchini Burundi baada ya machafuko yaliyoyakumba baadhi ya maeneo hali iliyopelekea wananchi kuyakimbia makazi yao na utulivu kuweposasa, viongozi wa nchi hiyo wamewataka Raia walioko More...

By jerome On Thursday, March 30th, 2017
0 Comments

Sanamu ya kushangaza ya Cristiano Ronaldo yazinduliwa Ureno

Mashabiki wengi wa mchezo wa kandanda dniani wameshangazwa na sanamu ya mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambayo ilizinduliwa katika kisiwa cha Madeira nchini Ureno. Sanamu hiyo ilizinduliwa wakati More...

By jerome On Thursday, March 30th, 2017
0 Comments

HOSPITALI YAKABIDHIWA VIFAA MAABARA VYENYE THAMANI TA MIL. 60

Hospitali ya Manyamanyama katika halimashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara imepokea msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya shilingi milioni 60 kutoka shirika la Azimund la italia kwa kushirikiana na kanisa More...

By jerome On Wednesday, March 29th, 2017
0 Comments

Hali ya utulivu yarejea Namanga, mpakani mwa Kenya na Tanzania

Hali ya utulivu imerejea eneo la Namanga, katika mpaka wa Kenya na Tanzania siku moja baada ya raia wa Kenya kuandamana kupinga kile walichokitaja kama juhudi za serikali ya Tanzania za kuwalenga Wakenya wanaoishi More...

By jerome On Wednesday, March 29th, 2017
0 Comments

MAZOEZI YA SERENGETI BOYS YAPAMBA MOTO

Na Benson Eustace Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (serengeti boys) inaendelea na mazoezi katika uwanja wa kaitaba mjini Bukoba kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya vijana ya More...

By jerome On Wednesday, March 29th, 2017
0 Comments

MKUU WA WILAYA YA KOROGWE ATAKA FEDHA ZA MAJI ZILINDWE

Na Mbonea Herman MKUU wa wilaya ya Korogwe Eng Robart Gabriel amemwagiza mhandishi wa maji wa halmashauri ya Korogwe mji kuhakikisha shilingi milioni mia tano zilizotolewa kwa ajili ya mradi wa maji wa Old Korogwe More...