Date archive forFebruary, 2017
By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

Mkuu wa majeshi afutwa kazi Gambia

Rais wa Gambia Adama Barrow amemfuta kazi mkuu wa majeshi Jenerali Ousman Badjie. Jenerali Badjie alitangaza utiifu wake kwa rais aliyeondoka madarakani Yahya Jammeh baada ya uchaguzi wa Disemba ulioleta vuta nikuvute. Hata More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

Mchezaji wa Togo amsaidia mwenzake kupumua

Mshambuliaji wa timu ya Togo Francis Kone aliokoa maisha ya kipa Martin Berkovec ambaye nusra ameze ulimi wake wakati wa mechi ya ligi ya Czech. Kone alichukua hatua za haraka baada ya Berkovec kugongana na mwenzake More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AFUNGA MACHIMBO YA KOKOTO

Na Salum Mwinyimkuu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ALLY SALUM HAPI amefunga Shughuli za Uchimbaji Kokoto Katika Machimbo ya Boko Chama Kata ya Bunju, Kwa Kushindwa Kufuata Kanuni za Mazingira. HAPI amefika Katika Machimbo More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

Wanawake 2 kushtakiwa kwa muaji ya Kim Jong nam

Mwanasheria mkuu wa Malaysia, anasema wanawake wawili wanaodaiwa kumuua ndugu wa kambo wa rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un watashtakiwa kwa makosa ya mauaji. Wawili hao, raia wa Indonesia na Vietnam wanakabiliwa More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

Pombe za VIROBA mwisho Machi, Mosi mwaka huu

Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira JANUARY MAKAMBA amesema kuwa utekelezaji wa maamuzi ya Serikali kuhusu usitishaji uingizaji, uzalishaji, uuzaji na matumizi ya vifungashio vya plastiki vya kufungia More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

WANANCHI WA MKUNDI MANISPAA YA MOROGORO WAPINGA TIMU YA UCHUNGUZI

Na Merina Robert KIKOSI  kazi cha kufanya uchunguzi (sensa) kuhusu mgogoro wa ardhi  kati ya wananchi na mwekezaji katika mtaa wa Kiegeya kata ya Mkundi  manispaa ya Morogoro kimeshindwa kuendelea na kazi hiyo More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

AGA KHAN WAZINDUA HOSPITALI MPYA MIKOCHENI DSM

Hospitali binafsi nchini zimetakiwa kutoa huduma kwa kuzingatia miongozo inayotolewa na Serikali ikiwemo kuyajali makundi yasiyokuwa na uwezo katika jamii pamoja na makundi maalum. Mganga mkuu wa wilaya ya Kinondoni More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

UN kupiga kura kuweka vikwazo kwa Syria

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linapiga kura kuhusu rasimu ya azimio ambalo litaweza kuiwekea vikwazo Syria kutokana na kutumia silaha za sumu. Wanadiplomasia wamesema kuwa pendekezo la azimio hilo ambalo More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

Trump kuongeza bajeti ya ulinzi

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anataka kufanya ongezeko kubwa katika bajeti ya ulinzi. Ikulu ya Marekani imesema Trump anataka kuongeza matumizi katika jeshi la nchi hiyo kwa kiasi cha Dola bilioni 54. Trump More...

By jerome On Tuesday, February 28th, 2017
0 Comments

WANANCHI WA KIJIJI CHA KIPERA KUJENGA VYOO

Na Iddy Nidudu, Wanafunzi wa shule ya msingi Kipela, katika Manispaa ya Tabora, wataachana na tabia ya kujisaidia vichakani baada ya wakazi wa kijiji cha Kipela, kuamua kujenga matundu kumi na nane ya vyoo ili kuwanusuru More...