Published On: Mon, Jan 16th, 2017
Tech News | Post by jerome

WANAUNZI WATORO KUDHIBITIWA NA KIMTANDAO.

Share This
Tags

Na JAMES LYATUU.

Taasisi ya Econnect imebuni mfumo wa elimu unaorahisiha mawasiliano baina ya shule na mzazi au mlezi katika kufuatilia taarifa na maendeleo ya mtoto awapo shuleni kupitia njia ya simu za mkononi.

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo HASHIM MAGESA ameeleza kuwa Kutokana na kutingwa na majukumu baadhi ya Wazazi wamekuwa wakishindwa kufuatilia maendeleo ya Watoto wao shuleni na kufanya Watoto wao kukosa usimamizi na kutumia nafasi hiyo kufanya utoro.

Ili mfumo huo uweze kufanya kazi,Serikali imeshauriwa kutumia mfumo huo kwa majaribio ndani ya mwaka mmoja ili kujiridhisha ufanisi wake ili uweze kutumika.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>