Published On: Wed, Jan 18th, 2017

WAKAZI KIJIJI CHA NDULUKA MKOANI LINDI WALIA NA SEKTA YA AFYA.

Share This
Tags

Na JUMA MOHAMED

Wakazi wa kijiji cha Nduluka Wilayani Liwale Mkoani Lindi, wanakosa matibabu kutokana na ukosefu wa watumishi, licha ya wananchi kujenga zahanati na nyumba ya kuishi Mganga kwa miezi miwili sasa.

Wakizungumza na CLOUDS FM, baadhi ya wakazi wa Kijijini hicho SAID MKWINDA, HALIMA MSHAMU, na MOHAMED MSHAMU wameeleza kuwa hali hiyo imekuwa ikiwapa wakati mgumu.

Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya wilaya Liwale, MAULID MAJALA amebainisha jitihada za serikali, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo JUSTINO MONKO, akikiri upungufu wa watumishi

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>