Published On: Mon, Jan 16th, 2017
Travel | Post by jerome

VIVUTIO VYA UTALII NCHINI TANZANIA.

Share This
Tags

Tanzania ni moja ya nchi zenye vivutio vingi vya utalii barani Africa ikiwemo mbuga za wanyama, milima, mabonde na hata nyumba za kale.

Ukiwa katika mbuga za wanyama utashuhudia wanyama mbalimbali wa porini,

Watalii wamekuwa wakitoka kona mbalimbali za dunia kwaajili ya kuja kujionea namna Tanzania ilivyobarikiwa kupitia utalii.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>