Published On: Tue, Jan 17th, 2017

MAJI TAKA YENYE KINYESI YAZUA TAHARUKI UBUNGO.

Share This
Tags

Lori la maji taka limechafua hali ya hewa kwenye Barabara ya Morogoro baada ya kumwaga maji yenye kinyesi katikati ya barabara maeneo ya Ubungo Mataa na kusababisha taharuki na harufu kali.

Mshuhuda wa tukio hilo wanasemekana kuwa lori hilo lilikuwa likitokea maeneo ya Rombo Kimara ambapo baada ya kufika Ubungo kwenye mataa ya foleni, mfuniko wa tanki uliftyatuka ndipo likaanza kumwaga uchafu huo barabarani. 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>