Published On: Tue, Jan 17th, 2017

DIAMOND NA ZARI KUPENDEZESHA JARIDA MAARUFU AFRIKA KUSINI.

Share This
Tags

Na JAMES LYATUU.

Msanii wa mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wamepata shavu kubwa baada ya kupata mkataba wa kupiga picha za kupendezesha jarida maarufu la Afrika Kusini liitwalo ‘Papas and Mamas’. 

Hayati Nelson Mandela Madiba nae ni mmoja wa watu waliowahi kuandikwa mara nyingi katika jarida hilo kubwa nchini Africa Kusini.

 

 

 

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>