Published On: Thu, Jan 19th, 2017

AY AZINDUA NGOMA YAKE MPYA ALIYOMSHIRIKISHA NYASHINSKI.

Share This
Tags

Msanii mkongwe kwenye game ya mziki wa kizazi kipya AMBWENE YESAYA Maarufu kama AY ametambulisha rasmi ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la MORE MORE aliyoshirikiana na msanii Nyashinski.

Uzinduzi wa wimbo huo umefanyika leo kwenye kipindi pendwa cha burudani Cha XXL ambapo AY aliongozana na meneja wake SALLAM SK.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>