Date archive forJanuary, 2017
By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

NAPE AMPONGEZA SIMBU KWA USHINDI STANDARD CHARTERED MARATHON INDIA.

Mshindi wa mbio ndefu kwa wanaume msimu wa 14 zilizofanyika Mumbai India Alphonce Felix Simbu amekutana na waziri wa habari,sanaa, utamaduni na michezo NAPE NNAUYE na kuwashukuru watanzania kwa ushirikiano waliompatia. Simbu More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

POLISI MWANZA WAPATIWA MAFUNZO YA KUPAMBANA NA UKATILI NDANI YA JAMII.

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limedhamiria kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto kwa kuwachukulia hatua kali za kisheria watu watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo. Kauli hiyo imetolewa More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

KLABU YA GOLF JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LUGALO KUADHIMISHA MIAKA 10.

Klabu ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo iko katika maandalizi ya viwanja kwa ajili ya mashindano ya kuadhimisha Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo Mwaka 2006. Akizungumza na Waandishi More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

WAJAWAZITO WATAHADHARISHWA MATUMIZI HOLELA YA VIPODOZI.

Wanawake wajawazito na wanaonyonyesha wanaotumia vipozi wameshauriwa kuepuka matumizi ya vipodozi vyenye kemikali  bila kupata  ushauri wa wataalam wa afya  ili kuepuka madhara yanayoweza kumpata mtoto mchanga More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

UNGANA NA GODFREY KUSOLWA, SOPHIA KESSY NA JACQULINE KOMBE KWENYE TAARIA ZA ALASIRI LEO SAA 10:30 JIONI CLOUDS TV.

  Ndani ya Habari za Alasiri utapata wasaa wa kufahamu Nani aliebamba siku leo,Jicho la Habari,Gumzo na pia yanayojiri kwenye Mitandaoni mbalimbali ulimwenguni. Kwenye Gumzo leo tutaangazia kuapishwa kwa More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

WAKULIMA WA KOROSHO NACHINGWEA WALIA KUCHELEWESHEWA MALIPO YAO.

Wakulima wa zao la korosho  kijiji cha Mbondo  Kata ya Mbondo Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi wamelalamikia kucheleweshwea fedha za za malipo, huku baadhi yao wakidai kurejeshewa korosho zao na kutupia lawama More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

TANI 68 ZA SAMAKI WASIO NA UBORA ZAKAMATWA ZIKISAFIRISHWA KUELEKEA RWANDA.

Idara ya Mifugo na uvuvi katika halmashauri ya Wilaya ya Chato ikiongozwa na Afisa Mfawidhi Mdhibiti Ubora wa Samaki na Usimamizi  wa Raslimali za Uvuvi Mkoa wa Geita Shafii Kitery kwa kushirikiana na Jeshi la More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

DJOKOVIC NJE MICHUANO YA AUSTRALIA OPEN.

Bingwa mtetezi Novak Djokovic amewashangaza wengi baada ya kuchapwa na mchezaji namba 117 duniani Denis Istomin raia wa Uzbektan katika michuano ya Australian Open. Mshindi huyo mara sita wa michuano hiyo ameshindwa More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

VIVIAN CHERUIYOT ATAJWA KUWA MWANASPOTI BORA KENYA.

Mshindi wa medali ya dhahabu ya mbio za mita 5,000 na medali ya fedha ya mbio za mita 10,000 za Olimpiki, Vivian Cheruiyot ndiye mwanaspoti bora nchini Kenya mwaka 2016. Cheruiyot, ambaye amejishindia Sh milioni More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

YAHYA JAMMEH AHESABIWA MASAA KUACHIA MADARAKA GAMBIA.

Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi wamempa Yahya Jammeh fursa ya mwisho kuachia madaraka, huku wanajeshi wa Senegal wakiingia nchini Gambia. Bw Jammeh amepewa hadi saa sita mchana Ijumaa kuachia madaraka la sivyo More...