Date archive forSeptember, 2016
By jerome On Thursday, September 15th, 2016
0 Comments

Mchungaji akatisha hotuba ya Trump ya kumpinga Clinton

Mchungaji wa kanisa moja la watu weusi katika jimbo la Michigan, Marekani amemkatisha Donald Trump akihutubu alipoanza kumshutumu mpinzani wake Hillary Clinton. Mchungaji Faith Green Timmons alimkatisha BwTrump More...

By jerome On Thursday, September 15th, 2016
0 Comments

HAKUNA MDORORO WA UCHUMI NCHINI – PROF. NDULU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Benno Ndulu amesema kuwa hakuna mdororo wa uchumi nchini bali uchumi wa Tanzania umeendelea  kukua kwa kiwango cha asilimia 5.5 kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka More...

By jerome On Thursday, September 15th, 2016
0 Comments

WADAU WAENDELEA KUJITOLEA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA

Mchungaji King James wa Kanisa la Pentekoste Assemblies of God (P.A.G) kutoka Maeneo ya Kahororo Kyamaizi Bukoba, King James ambaye pia ni mmoja wa wadau wa maendeleo Manispaa ya Bukoba Leo jumatano septemba More...

By jerome On Thursday, September 15th, 2016
0 Comments

Waziri Mkuu Majaliwa: aziagiza halmashauri zote nchini kutekeleza mpango kazi wa anwani za Makazi na Postikodi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote nchini kutekeleza mpango kazi wa anwani za Makazi na Postikodi kwa kushirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wananchi. Waziri More...

By jerome On Wednesday, September 14th, 2016
0 Comments

UFARANSA NA UINGEREZA LAWAMANI KWA KUANGUSHA UTAWALA WA GADDAFI LIBYA

Ripoti ya kamati ya bunge nchini Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa mamlakani kwa Kanali Muammar Gaddafi nchini Libya mwaka 2011. Kamati hiyo ya Mambo ya Nje More...

By jerome On Wednesday, September 14th, 2016
0 Comments

LIGI YA MABINGWA: PARIS ST-GERMAIN 1-1 ARSENAL

Alexis Sanchez aliwasaidia Arsenal kuondoka na alama moja mechi yao ya kwanza msimu huu Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Paris St-Germain. Edinson Cavani aliwaweka PSG mbele baada ya sekunde 42 pekee na alikuwa More...

By jerome On Wednesday, September 14th, 2016
0 Comments

JAMII YA WAFUGAJI YAMUOMBA RAIS DKT MAGUFULI AWANUSURU NG’OMBE WAO

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Maghembe Makoye akizungumza na waandishi wa habari wakati akifafanua mambo mbalimbali kuhusu wafugaji walionyaganywa mifugo yao na uongozi wa hifadhi ya More...

By jerome On Wednesday, September 14th, 2016
0 Comments

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA ZAMBIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania More...

By jerome On Wednesday, September 14th, 2016
0 Comments

BILIONI 1.4 ZACHANGWA NA MABALOZI,WAFANYABIASHARA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA

Jumla ya shilingi bilioni 1.4 zimechangwa na mabalozi na wafanyabiashara kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Mkoani Kagera. Michango hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam katika harambee More...

By jerome On Friday, September 2nd, 2016
0 Comments

TANZANIA URUSI ZABADALISHANA UZOEFU WA KUDHIBITI UHALIFU

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa kwanza kushoto), akizungumza wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kudhibiti uhalifu kati ya Tanzania na Urusi.Kulia ni More...