Date archive forAugust, 2016
By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, MHE. GEORGE MASAJU AVIASA VYAMA VYA SIASA KUHESHIMU KATIBA YA NCHI

¬† ¬†Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),George Masaju akifafanua masuala mbalimbali kuhusu wajibu wa Utii wa Sheria na kudumisha amani nchini,alipokuwa akizungumza mbele ya Wahariri wa vyombo vya habari jijini More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

WANAFUNZI WA CHUO CHA DIPLOMASIA WAMNUNULIA MWENZAO VIFAA VYA KUMSAIDIA KUSIKIA

Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Diplomasia Dk Bernald Achiula akizungumza na waandishi wa habari chuoni hapo wakati akishukuru wanafunzi wa chuo hicho kwa michango yao waliyochanga ili kumsaidia mwanafuzni mwenzao Shinuna More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

Mkahawa wakataa kuwahudumia wanawake Waislamu Ufaransa

Kanda ya video mjini Paris ilioonyesha mkahawa mmoja ukikataa kuwahudumia wanawake wawili Waislamu imezua hisia kali nchini Ufaransa. Katika kanda hiyo,iliosambazwa sana katika mitandao ya kijamii ,mwanamume anamwambia More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

ASAMOAH GYAN ARUDI UINGEREZA

Nahodha wa kikosi cha soka nchini Ghana Asamoah Gyan anatarajiwa kujiunga na klabu ya Reading kwa mkopo kutoka timu ya China Shanghai SIPG. Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Sunderland anafanyiwa ukaguzi wa matibabu More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

FABREGAS AKANA KUKOSANA NA MKUFUNZI CONTE

Kiungo wa kati wa Chelsea Cesc Fabregas amepinga madai kwamba alikosana na meneja wa klabu hiyo Antonio Conte. Meneja huyo aliripotiwa kumtaka mchezaji huyo wa miaka 29 kuondoka kabla ya kukamilika kwa siku ya mwisho More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

EU: UCHAGUZI WA GABON ULIKOSA UWAZI

Waangalizi kutoka muungano wa ulaya waliokuwa wakifuatilia uchaguzi mkuu nchini Gabon wanasema kuwa uchaguzi huo haukuwa wa uwazi. Rais wa sasa Ali Bongo na mshindani wake mkuu Jean Ping wote wamedai kushinda. Bwana More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

EAC YAIDHINISHA KISWAHILI KUWA LUGHA RASMI

Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania. Gazeti hilo linasema kuwa wajumbe wa More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

PANDE PINZANI ZADAI USHINDI NCHINI GABON

Rais anayetetea kiti chake nchini Gabon, Ali Bongo na mpinzani wake mkuu Jean Ping, kila mmoja amedai ushindi, kufuatia uchaguzi wa Rais uliofanyika nchini humo Jumamosi. Pande zote zimekuwa zikilaumiana kwa udanganyifu. More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

MAELFU YA WAHAMIAJI WAOKOLEWA KATIKA PWANI YA LIBYA

Vikosi vya uokoaji vya majini vya Italy vimesema vimeratibu uokoaji wa wahamiaji elfu sita na mia tano katika bahari ya Mediterania siku ya jumatatu. Kwa mujibu wa vikosi hivyo, hii ni oparesheni kubwa zaidi kuwahi More...

By jerome On Tuesday, August 30th, 2016
0 Comments

ROUSSEFF APIGANI KURUDI MADARAKANI NCHINI BRAZIL

Rais wa Brazil ambae amesimamishwa, Dilma Rousseff, amewaambia maseneta kuwa yeye ni mhanga wa njama za kisiasa, zilizopangwa na wale ambao aliwashinda katika uchaguzi mkuu miaka miwili iliyopita. Amesema faida More...