Date archive forJuly, 2016
By jerome On Saturday, July 30th, 2016
0 Comments

MARUFUKU USAFIRISHAJI MAGOGO USIKU!

SERIKALI imepiga marufuku usafirishaji wa magogo nyakati za usiku sambamba na matumizi vya vyaraka vivuli kama sehemu ya kukabiliana na ukwepaji wa kodi inayotokana na mazao ya misitu nchini. Waziri wa Maliasili More...

By jerome On Saturday, July 30th, 2016
0 Comments

WAPEWA MSAADA WA MADAWATI NA KUMPONGEZA JPM

WANAFUNZI wa shule ya sekondari Lugoba iliyopo katika halmashauri ya mji mdogo Chalinze Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamempongeza Rais wa awamu ya tano Dr John Pombe Magufuli kwa agizo lake alilolitoa la kuhakikisha More...

By jerome On Saturday, July 30th, 2016
0 Comments

MBUNGE ATOA MSAADA VIFAA VYA MICHEZO TABORA!

MBUNGE wa viti maalumu mkoani Tabora kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Hawa Mwaifunga, ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya michezo kwa vijana wa mkoa huo kwa lengo la kukuza vipaji More...

By jerome On Saturday, July 23rd, 2016
0 Comments

HALMASHAURI ZA WILAYA ZAASWA UADILIFU!

WATENDAJI katika Idara mbalimbali za halmasauri za wilaya hapa nchini, wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu kwa kufuata miongozo taratibu za kazi na kutumia taaluma zao ili kuleta ufanisi na kuondoa manug’uniko More...

By jerome On Saturday, July 23rd, 2016
0 Comments

CHADEMA WATAKIWA KUWA NA NIA YA DHATI KUKIJENGA CHAMA!

WAJUMBE wa mkutano mkuu Chadema wilaya ya busega mkoani Simiyu wametakiwa kuweka kusudio na nia ya dhati ya kukijenga chama hicho kuanzia ngazi ya vitongoji ,vijiji hadi taifa ili kukipeleka chama katika ushindi More...

By jerome On Saturday, July 23rd, 2016
0 Comments

MTWARA WAISHUKURU SERIKALI KWA KUTOA FURSA ZA UWEKEZAJI.

WANANCHI mkoani Mtwara wameishukuru serikali kwa kutoa fursa za uwekezaji mkoani humo wakitarajia kunufaika kupitia uwepo wa miradi mbalimbali inayotekelezwa ikiwa ni pamoja na miradi ya shirika la nyumba nchini More...

By jerome On Saturday, July 23rd, 2016
0 Comments

SERIKALI YAKILI CHANGAMOTO USIMAMIZI WA MAENDELEO YA MIRADI!

SERIKALI imekili kuwepo kwa changamoto ya usimamiaji wa miradi ya maendeleo katika halimashauri mbalimbali nchini kutikana na ucheleweshwaji wa fedha za miradi kutokana na uhaba wa makusanyo ya kodi katika kipindi More...

By jerome On Friday, July 22nd, 2016
0 Comments

IDARA YA AFYA ZATAKIWA KUTOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE!!

IDARA ya afya katika halmashauri za Wilaya zimetakiwa kutoa elimu ya kutosha kwa jamii juu ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele ili kuondoa malalamiko kwa wananchi. Madai hayo yametolewa na wakazi wa Wilaya ya Singida, More...

By jerome On Friday, July 22nd, 2016
0 Comments

MKUU WA MKOA ATAKA MASHIRIKA NA WADAU KUCHANGIA MADAWATI!

MKUU wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa ameyataka mashirika na wadau mbalimbali kuendelea kijitokeza kuchangia Madawati ili kuondoa changamoto kubwa ya ukosefu wa madawati katika shule nyingi zilizpo katika mkoa huo. Mkoa More...

By jerome On Friday, July 22nd, 2016
0 Comments

ULYANKULU WAONYWA KUTII MAAGIZO YA SERIKALI!

WAKAZI wa Ulyankulu Wilayani Kaliua,wametahadharishwa kutii maagizo ya Serikali na kutakiwa kutokuwa wakaidi kwa vile Serikali inapotoa maagizo inakuwa na malengo yake. Wakazi hao waliopata Uraia mwaka juzi, baadhi More...