Date archive forJune, 2016
By jerome On Wednesday, June 29th, 2016
0 Comments

UKONDAMOYO TABU YA MAJI BASI!!

WAKAZI wa Kijiji cha Ukondamoyo kata ya Ukondamoyo, wilayani Urambo wameondokana na adha ya kutafuta maji kwa zaidi ya saa sita baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Ukondamoyo uliogharimu zaidi ya Shilingi Milioni More...

By jerome On Wednesday, June 29th, 2016
0 Comments

BAGAMOYO YAKABIDHIWA GARI YA WAGONJWA ‘AMBULANCE’

ZAHANATI, vituo vya afya, pamoja na hospitali hapa nchini bado zinakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo ukosefu kwa magari ya kubebea wagonjwa na kupelekea baadhi ya wakinamama wajawazito kupata shida kubwa More...

By jerome On Wednesday, June 29th, 2016
0 Comments

WAFANYA BIASHARA SHINYANGA WAIOMBA SERIKALI IWAACHE ENEO LA KITANGIRA!

BAADHI ya wafanyabiashara ndogo ndogo wa matunda eneo la kitangiri Manispaa ya Shinyanga wameiomba Serikali kuangalia upya ombi lao la kuendelea kufanya biashara kwenye hilo. Wafanyabiashara hao wamesema kuwa serikali More...

By jerome On Tuesday, June 28th, 2016
0 Comments

MTOTO MWENYE UALBINO ANUSURIKA KUIBWA TARIME!

MTOTO wa kiume mwenye ulemavu wa ngozi Albino aitwaye Emmanuel Maiya mwenye umri wa miaka sita 6 amejikuta akinusurika kuibwa nyumbani kwao katika kijiji cha Kemakorere kata ya Nyarero wilayani Tarime mkoani Mara More...

By jerome On Tuesday, June 28th, 2016
0 Comments

HALMASHAURI YAMTIMUA MPANGAJI!

HALMASHAURI ya manispaa ya Tabora imeamua kumfukuza mpangaji wake katika eneo alilokuwa amepanga kwa kutumia asikali mgambo kutokana na kushindwa kulipa kodi kwa muda wa zaidi ya miaka kumi. Wakizungumza na CLOUDS More...

By jerome On Tuesday, June 28th, 2016
0 Comments

MANGOCHIE AHAMASHA WANAKIJIJI MGUSU KUCHANGAMKIA FURSA ZA MAENDELEO!

ALIYEKUWA Mkuu wa wilaya ya Geita Manzie Mangochie amewataka Wakazi wa Kijiji cha Mgusu Wilayani humo kuchangamkia fursa za kujiletea maendeleo hasa katika nyanja za elimu ili kuwarithisha watoto wao na waendelee More...

By jerome On Tuesday, June 28th, 2016
0 Comments

BIDHAA ZA THAMANI YA SHILINGI MILI. 157 ZATEKETEZWA KWA MOTO!

MAMLAKA ya Chakula na dawa kanda ya ziwa kwa kushirikiana na mamlaka ya mapatoTRA Wilaya ya Chato Mkoani Geita imeharibu na kuteketeza kwa moto bidhaa ya vipodozi zikiwemo dawa za binadamu za nchi ya Uganda ambazo More...

By jerome On Tuesday, June 28th, 2016
0 Comments

WANANCHI ARUSHA WATAKIWA KUENDELEA KUSFANYA USAFI!

WANANCHI jijini Arusha wametakiwa kuendelea kufanya usafi katika maeneo ya mikusanyiko kama sokoni, hospitali pamoja na vituo vya mabasi ili kufanya maeneo hayo kupendeza na kuweza kuvutia wageni. Wananchi hao wamekumbushwa More...

By jerome On Monday, June 27th, 2016
0 Comments

TAHADHARI WANUNUZI VYUMA CHAKAVU!

SERIKALI mkoani Tabora imewatahadharisha wanunuzi wa vyuma chakavu na viwanda vidogovidogo kuacha kuongeza kasi ya kununua vifaa hivyo baada ya Jeshi la Polisi kukamata vitu mbalimbali vilivyotengenezwa kwa kutumia More...

By jerome On Monday, June 27th, 2016
0 Comments

DC MTWARA APIGA MARUFUKU WAVAMIZI WA HIFADHI YA BARABARA.

MKUU wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally amepiga marufuku vitendo vya baadhi ya wananchi kuvamia hifadhi ya barabara na kujenga bila mpangilio pamoja na kuweka mabango na kuwataka wakala wa barabara nchini (TANROADS) More...