Date archive forMay, 2016
By jerome On Tuesday, May 31st, 2016
0 Comments

WAKURUGENZI WAAGIZWA KUANZISHA UTARATIBU UNYWAJI MAZIWA!

SERIKALI mkoani Njombe imewaagiza wakurugenzi mkoani humo kuanzisha utaratibu wa kutoa huduma ya unywaji maziwa shuleni ili kuongeza ari ya kunywa maziwa kufuatia takwimu kuonyesha kuwa kuna idadi ndogo ya wananchi More...

By jerome On Tuesday, May 31st, 2016
0 Comments

HOSPITALI YA RUFAA MBEYA YAKUBALI KAZI!

WIKI Iliyopita tumewasikia na kuwaona kupitia Clouds Tv,baadhi ya wagonjwa waliolazwa chini katika wodi nambari moja katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya wakilalamikia Wizara ya Afya kuweka mkono wao katika More...

By jerome On Tuesday, May 31st, 2016
0 Comments

SERIKALI YAITUPIA LAWAMA TBS, TCRA KUZIMWA KWA SIMU BANDIA!

KATIKA kuelekea kuzimwa kwa simu bandia juni 16 mwaka huu, serikali mkoani Simiyu bado hairidhishwi na na utendaji kazi wa shirika la viwango tanzania kwa kushindwa kubaini uingizwaji wa bidhaa hizo bandia na kabla More...

By jerome On Tuesday, May 31st, 2016
0 Comments

VIJANA WALIA NA POLISI KUTUNZA SIRI ZA MAJAMBAZI!

VIJANA wilaya ya Kaliua wameliasa Jeshi la Polisi kutunza siri wanazopewa na raia wema ili mapambano dhidi ya wauaji yaweze kufanikiwa. Wakilizungumzia Jeshi hilo, vijana wanasema baadhi ya askari Polisi hawatunzi More...

By jerome On Monday, May 30th, 2016
0 Comments

WAVUVI WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATO MGOGORO BAINA YAO NA WAAJIRI WAO!!

ZAIDI ya Wavuvi 1,000 wa Kisiwa cha Kasarazi wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro baina yao na waajiri wao kutokana na kile kinachodaiwa kutoridhishwa na utaratibu wa malipo More...

By jerome On Saturday, May 28th, 2016
0 Comments

WAZAZI WATAKIWA KUWALINDA WATOTO!

WAZAZI na walezi mkoani Iringa wametakiwa kuongeza juhudi za kuwalinda watoto wao hususani wa kike kutokana na vitendo vya ubakaji vinavyoendelea kujitokeza ambapo zaidi ya watoto 36 wameripotiwa kufanyiwa vitendo More...

By jerome On Saturday, May 28th, 2016
0 Comments

WAENDESHA BAISKELI, AIRTEL, RIFALO WAFANYA USAFI HOSPITALINI!!

CHAMA cha waendesha baiskeli mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Airtel na Rifaro Africa wameunga mkono agizo la Rais Dkt John Magufuli la kufanya usafi katika hospitali ya halmashauri ya mji wa Bariadi ili kuyaweka More...

By jerome On Saturday, May 28th, 2016
0 Comments

WAGONJWA WANALALA SAKAFUNI HOSPITALI YA RUFAA JIJINI……

BAADHI ya wagonjwa wanaohudumiwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, wameiomba serikali kuongeza idadi ya vitanda sanjari na upanuaji wa vyumba vya kulala wagonjwa wodi kwani wamekuwa wakipata More...

By jerome On Friday, May 27th, 2016
0 Comments

GEITA SI WATUMIAJI WA BIDHAA ZITOKANAZO NA DHAHABU!!

MKOA wa Geita ni miongoni mwa Mikoa nchini inayoongoza kwa uchimbaji wa madini ya dhahabu, ambapo twakwimu zinaonesha kuwa wananchi wake si watumiaji wakubwa wa bidhaa zitokanazo na madini hayo kama vile mikufu, More...

By jerome On Friday, May 27th, 2016
0 Comments

TAHARUKI WANAWAKE MKOANI KIGOMA WAINGILIWA KINGUVU NA TELEZA!!!

WANAWAKE wakazi wa mji wa Kigoma, wamekumbwa na taharuki kufuatia kuibuka mtu asiyefahamika anayewaingilia kinguvu wakati wamelala kwenye nyumba zao usiku huku akitumia panga kuwatisha au kuwakata kata mapanga sehemu More...