Date archive forApril, 2016
By jerome On Friday, April 29th, 2016
0 Comments

CHANGAMOTO SHULE ZA SEKONDARI VIJIJINI!!

SHULE za sekondari zilizoko vijijini hapa nchini zinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwaemo ukosefu wa umememe wa uhakika kwa ajili ya kuendeshea maabara licha ya serikali kutilia mkazo ujenzi wa maabara hatua More...

By jerome On Friday, April 29th, 2016
0 Comments

MKUU WA WILAYA UKEREWE AAGIZA MAGARI YANAYOBEBA MACHUNGWA YA BIASHARA KUCHANGIA MADAWATI!

MKUU wa wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza Joseph Mkirikiti amaegiza magari yote yanayofika katika Wilaya hiyo kwa ajili ya kubeba machungwa ya biashara kuchangia mchango wa madawati kabla ya kuvuka kivuko cha Rugezi More...

By jerome On Thursday, April 28th, 2016
0 Comments

WENYEVITI GEITA WAPINGA AGIZO MKUU WA POLISI!

WENYEVITI wa serikali ya vijiji na mitaa wamepinga vikali wazo lililotolewa na Mkuu wa polisi wilaya ya Geita, Ally Kitumbo baada ya kutoa kauli kuwa kuanzia sasa wenyeviti hao watakamatwa na kuwajibishwa iwapo More...

By jerome On Thursday, April 28th, 2016
0 Comments

TABORA WATAKA UTENGENEZWAJI MADAWATI UENDANE NA MIUNDOMBINU YA MADARASA

WAKAZI wa Manispaa ya Tabora, wametaka jitihada za kutengenezwa madawati ziendane na miundombinu ya madarasa vinginevyo madawati hayo yatakosa mahali pa kuwekwa. Wakizungumzia jitihada zinazofanywa za kuhakikisha More...

By jerome On Wednesday, April 27th, 2016
0 Comments

TRUMP AZIDI KASI MCHUJO WA UTEUZI REPUBLICAN!

DONALD TRUMP ameshinda mchujo wa kuteua mgombea urais wa chama cha Republican katika majimbo matano ya Marekani yaliyopiga kura jana. Ushindi wake huo katika majimbo ya Connecticut, Delaware, Maryland, Pennsylvania More...

By jerome On Saturday, April 23rd, 2016
0 Comments

MAKAMU WA RAIS JMT AAGIZA MAWAZIRI KUTAFUTA SULUHU YA UMILIKI HOLELA WA SILAHA!!

MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu amewaagiza mawaziri wa ulinzi wa nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika (RECSA) kuhakikisha wanatafuta suluhisho la umiliki wa silaha holela ambazo More...

By jerome On Saturday, April 23rd, 2016
0 Comments

HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA!

TATIZO la kutokujua kusoma na kuandika kwa wanafunzi wanaojinga na kidato cha kwanza katika shule za sekondari mkoani mara bado ni changamoto kubwa katika mkakati wa mkoa kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wanaomaliza More...

By jerome On Saturday, April 23rd, 2016
0 Comments

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI MGOGORO WA MASHAMBA RUVUMA!

WAKULIMA wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa mashamba unaoendelea wilayani humo, ambapo umewakumba wakulima 690 wa Kitongoji cha Ndiyomana Kijiji cha Msinji Kata ya Ligoma, More...

By jerome On Saturday, April 23rd, 2016
0 Comments

SUA KUANZISHA UTAFITI MBEGU BORA NA LISHE YA MAMA NA MTOTO KUBAINI CHANGAMOTO KWA MAZAO BORA!

CHUO kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) cha mkoani Morogoro kinaanzisha mradi wa utafiti wa mbegu bora kijeniitiki na lishe ya mama na mtoto ili kuweza kubaini changamoto zinazokwamisha wakulima katika kupata mazao More...

By jerome On Saturday, April 23rd, 2016
0 Comments

TAKUKURU: UELEWA MDOGO, MAKUSUDI KUPOKEA NA KUTOA RUSHWA WANANCHI NA VIONGOZI NI VIKWAZO KWA MAENDELEO!

AFISA wa Takukuru wilayani Kibondo mkoani Kigoma Bw. Cleus Komwendo amesema Uelewa mdogo au kufanya makusudi kutoa na kupokea rushwa kwa wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa kata na vijiji hapa nchini ni moja More...