Published On: Mon, Jan 18th, 2016

WAHANGA 22 WA SHAMBULIZI KWENYE HOTELI NCHINI BURKINA FASO WATAMBULIWA

Share This
Tags

Watu 22 kati ya 29 waliouawa kwenye shambulizi lililotokea ijumaa kwenye hoteli ya Splendid mjini Ouagadougou, nchini Burkina Faso wametambuliwa.
Kwa mujibu wa Waziri wa usalama wa nchi hiyo SIMON COMPAORE amesema, marehemu hao ni pamoja na raia wa Burkina Faso, kutoka Canada, Ukraine, Marekani, Uholanzi, Libya na Ureno.
Hali ya ulinzi imeimarishwa maradufu nchini humo.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>