Published On: Tue, Jan 19th, 2016

UMOJA WA MATAIFA WATOA RAI KWA DUNIA KUSAIDIA SOMALIA

Share This
Tags

Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutoa misaada yametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuipa msaada wa takriban dola Milioni 885 kuwasaidia zaidi ya watu milioni tano wanaohitaji misaada ya chakula nchini Somalia.

Miongoni mwa wanaohitaji msaada huo ni zaidi ya watoto 310,000 ambao wanakabiliwa na tishio kubwa na kuangamia kutokana na baa la njaa na utapiamlo ikiwa hawatapata misaada ya dharura.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>