Published On: Wed, Jan 6th, 2016

TWITTER WAPO MBIONI KUONGEZA MANENO YA KUTWEET

Share This
Tags

Mtandao wa Kijamii wa Twitter inasemekana upo mbioni kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-Tweet hadi kufikia 10,000 kwa tweet moja.

Huenda mpango huo pia ukatumika kwenye uandikaji wa meseji yaan Direct Message,kwasasa watumiaji wa Twitter wanatweet kwa maneno yasiyozidi 100.

Mpango huo bado haujathibitishwa na Twitter wenyewe.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>