Published On: Mon, Jan 18th, 2016

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TAA AFARIKI DUNIA

Share This
Tags

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania(TAA)Mhandisi SULEIMAN SAID amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea,kwamujibu wa taarifa zilizopatikana ni kuwa Suleiman alikimbizwa hospitali ya agakhan kwa matibabu na baadae akafariki dunia,..

Taarifa zaidi tutazidi kukufahamisha .

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>