Published On: Mon, Jan 18th, 2016

MAREKANI YAONGEZA VIKWAZO KWA IRAN

Share This
Tags

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran HOSSEIN JABER ANSARI amesema, vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Iran si halali na wala si vya haki.
Wizara ya fedha ya Marekani imetangaza kuwekea vikwazo kampuni 11 na raia kadhaa wanaoiunga mkono Iran kuendeleza mpango wake wa makombora ya masafa marefu.
Marekani imesema, vikwazo vilivyoondolewa dhidi ya Iran ni vile vinavyohusiana na mpango wake wa nyuklia tu.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>