Published On: Thu, Jan 14th, 2016

CHAMA CHA ZANU PF CHAPUUZA UVUMI KUHUSU AFYA YA RAIS MUGABE

Share This
Tags

Chama tawala cha ZANU-PF nchini Zimbabwe kimepuuza mbali uvumi ulionezwa kuwa hali ya afya ya Rais wa nchi hiyo ROBERT MUGABE ni mbaya.

Ofisi ya Rais MUGABE imesema, kiongozi huyo hana saratani ya kibofu cha mkojo, shinikizo la damu mshtuko wa moyo kama inayovyodaiwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa katika mitandao ya kijamii.

Kiongozi huyo anadaiwa kuondoka Zimbabwe Disemba 24 mwaka jana baada ya kudaiwa kupata mshtuko wa moyo akiwa likizoni.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>