Date archive forOctober, 2015
By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

VIJANA NCHINI WAASWA KUWA WABUNIFU

Vijana nchini wametakiwa kuwa wabunifu na kutengeneza ajira kupitia maarifa na ujuzi walionao, badala ya kusubiri kuajiriwa, hali inayorudisha nyuma maendeleo ya vijana wengi na kujikuta wamekwama kwenye dimbwi More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

CUF YATOA TAMKO

 Baada ya tamko la jana la  Jecha Salim Jecha ambae ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kufuta uchaguzi wa Zanzibar , leo hii Chama cha wananchi (CUF) kimetoa hoja zao dhidi ya uamuzi huo. Akizungumza More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

SERIKALI YAVIONYA VYOMBO VYA HABARI

Serikali imevionya vyombo vya habari nchini,taasisi za watu binafsi pamoja na wananchi kutotangaza matokeo ya kura za urais na kubainisha kuwa jikumu hilo kisheria linmasimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC. Akizungumza More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

JOHN POMBE MAGUFULI RAIS MTEULE WA AWAMAU YA TANO TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa mgombea urais wa chama cha mapinduzi CCM JOHN POMBE MAGUFULI, ametangazwa kuwa mshindi wa urais wa uchaguzi uliofanyika nchini Oktoba 25 mwaka huu. JOHN MAGUFULI anakuwa rais wa tano wa Jamhuri More...

By sophia kessy On Thursday, October 29th, 2015
0 Comments

JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA RAISI WA TANO WA TANZANIA

Hatimae  Dk JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, ametangazwa kuwa  Raisi wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania, baada ya kuongoza kwa asilimia 58.46  More...

By adminhabari On Sunday, October 25th, 2015
0 Comments

Live Election Report

 More...

By sophia kessy On Wednesday, October 21st, 2015
0 Comments

NETANYAU AKOSOLEWA NA VIONGOZI WA DINI.

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekosolewa baada ya kudai kuwa kiongozi wa kidini mpalestina alimshawishi aliyekuwa kiongozi wa kimla wa Ujerumani Adolf Hitler kutekeleza maauaji ya kimbari ya wayahudi. Kiongozi More...

By sophia kessy On Wednesday, October 21st, 2015
0 Comments

WATU 700 WALIKIMBIA KUNDI LA AL -SHABAB NA KUREJEA KENYA.

Watu 700 waliokuwa wamejiunga na makundi ya wapiganaji Somalia wametoroka na kurejea Kenya, hiii ikiwa ni ripoti ya Shirika la Kimataifa kuhusu Uhamiaji (IOM). Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la al-Shabab katika More...

By sophia kessy On Tuesday, October 20th, 2015
0 Comments

MILIPUKO YASHIKA KASI NCHINI KONGO BRAZZAVILLE.

Milipuko imesikika katika mji mkuu wa Congo, Brazzaville, kufuatia maandamano makubwa yaliyoitishwa na vyama vya upinzani kupinga hatua ya rais aliyeko madarakani Denis Sassou Nguesso kutaka kubadilisha katiba ilikumruhusu More...

By sophia kessy On Tuesday, October 20th, 2015
0 Comments

SUDAN YA KUSINI YAKIRI MAJESHI YA UGANDA YAMEONDOKA.

  Sudan Kusini inasema kuwa majeshi ya Uganda yaliyoko Jonglei yameanza kuondoka nchini humo. Msemaji wa serikali ya Sudan Kusini, Michael Makuei, amesema kuwa kikosi hicho kilichoko katika jimbo la Jonglei More...