Date archive forAugust, 2015
By sophia kessy On Saturday, August 22nd, 2015
0 Comments

KOREA YA KUSINI YACHIMBA MKWARA.

Huku msukosuko ukiendelea kushuhudiwa katika rasi ya Korea, Korea kusini inasema kuwa Korea Kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuharibu vipasa sauti vinavyotangaza propaganda More...

By sophia kessy On Saturday, August 22nd, 2015
0 Comments

WAGOMBEA URAISI WARUDISHA FOMU TUME YA UCHANGUZI NEC.

Ilikuwa miaka, miezi, wiki na sasa zimebaki saa 18 tu kuanza kwa kipute cha Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na udiwani zitakazochukua siku 70 hadi kukamilika. Vyama vyote vinavyowania nafasi hizo awali More...

By sophia kessy On Tuesday, August 18th, 2015
0 Comments

CCM YATANGAZA MAJIMBO 11 YALIYOKUWA YAMESALIA.

Zikiwa zimebaki takribani siku 69 kwa watanzania kuingia katika uchaguzi mkuu, vyama vya siasa ambavyo ndio walengwa wa uchaguzi huo vimeendelea kujipambanua na kuweka mikakati mbalimbali lengo likiwa ni kuingia More...

By sophia kessy On Tuesday, August 18th, 2015
0 Comments

KAMPENI YA KUPINGA MAUAJI YA TEMBO YAFIKIA TAMATI.

Kampeni ya kupinga mauaji ya Tembo iliyoendeshwa na Ubalozi wa China nchini kwa kushirikiana na Taasisi binafsi ya Population priority service hatimaye imehitimishwa jijini Arusha katika jengo la Makumbusho ya Azimio More...

By sophia kessy On Monday, August 17th, 2015
0 Comments

WAKAZI WA TIANJIN CHINA KULIKOTOKEA MLIPUKO WAANDAMANA.

Wakazi wa Jiji la Tianjin, Nchini China ambao nyumba zao ziliharibiwa na milipuko mikubwa miwili ya kemikali Jumatano iliyopita leo wameandamana wakiishinikiza Serikali iwalipe fidia Umati wa watu wamekusanyika More...

By sophia kessy On Monday, August 17th, 2015
0 Comments

MISRI YAPITISHA SHERIA YA KUPAMBANA NA UGAIDI.

Rais wa Misri ABDEL FATTAH AL- SISI, hatimaye amepitisha rasmi sheria mpya ya kupambana na vitendo vya kigaidi Nchini humo kukabiliana na ongezeko la makundi hayo. Sheria hiyo inaelezwa kuweka adhabu kali, ikiwemo More...

By sophia kessy On Wednesday, August 12th, 2015
0 Comments

JESHI LA POLISI DODOMA LAWASAKA WALIOTEKELEZA MAUAJI YA WAWILI.

Familia za waliokuwa wakazi wa Dodoma Marehemu PAULO NDULUMA na ALOYCE PATSANGO licha ya kubaki na majonzi, sasa zimebaki na mashaka wasijue hatma yao ya kesho kufuatia kuondokewa na wapendwa wao hao. Tukio la kupigwa More...

By sophia kessy On Wednesday, August 12th, 2015
0 Comments

BAADHI YA WANACHAMA CCM JIMBO LA MTAMA WATIA MKWARA.

Baadhi ya wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM, Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, wamesema wanaweza kukihama Chama hicho kumfuata aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo SELEMAN MATHEW, atakakoelekea endapo jina lake More...

By sophia kessy On Tuesday, August 11th, 2015
0 Comments

UN YAITAKA BURUNDI KUWEKA MAZUNGUMZO NA UPINZANI.

Baraza  la  Usalama  la  Umoja  wa  Mataifa  limeitaka serikali  ya  Burundi  kuanzisha  mara  moja mazungumzo  na  upinzani  ili  kuzuia  kuongezeka  kwa ghasia  ambazo  zinaisukuma  nchi  More...