Date archive forJuly, 2015
By sophia kessy On Wednesday, July 29th, 2015
0 Comments

CHADEMA YAMKAMATA MWANANCHI AKIWA NA KADI 35 ZA KUPIGIA KURA.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimemkamata mkazi wa kijiji cha Chikobe kata ya Nyachiluluma mkoani Geita BULUBA NGASSA, akiwa na shahada za kupigia kura zaidi ya 35. Mwenyekiti wa chama hicho Tawi la More...

By sophia kessy On Wednesday, July 29th, 2015
0 Comments

TANESCO YAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE.

Katika kuhakikisha maendeleo hayo yanapatikana, Tanesco kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji wake, FELCHESMI MRAMBA anaainisha hatua mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo katika mikakati yake ya usambazaji umeme nchi More...

By sophia kessy On Wednesday, July 29th, 2015
0 Comments

UMASKINI WATAJWA KUWA CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO.

Hali ngumu ya maisha na msongo wa mawazo ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuwepo kwa ongezeko la watu wanaosumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo katika jamii. Mkurugenzi wa kituo cha utafiti na matibabu ya More...

By sophia kessy On Wednesday, July 29th, 2015
0 Comments

JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA YALIA NA USIMAMIZI MMBOVU WA TRA.

Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanya biashara Tanzania BENSON MINJA amesema migogoro baina ya wafanyabishara na mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja na Serikali inasababishwa na usimamizi mbovu Akizungumza na wawawakilishi More...

By sophia kessy On Tuesday, July 28th, 2015
0 Comments

LOWASA NA FAMILIA YAKE WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA.

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa monduli, EDWARD LOWASSA amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo chadema na kuahidi kushirikiana na Chadema katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuiondoa CCM madarakani. Licha More...

By sophia kessy On Tuesday, July 28th, 2015
0 Comments

WAGANDA WAPATA VIBALI SAUD ARABIA.

Mazungumzo yaliyofanywa kati ya Uganda na Saud Arabia, yametoa nafasi kwa raia wa Uganda kupata vibali vya kufanya kazi nchini humo. Hata hivyo kuna wasiwasi huenda Waganda hao wakanyanyaswa. Hali hii inakuja More...

By sophia kessy On Tuesday, July 28th, 2015
0 Comments

OBAMA AENDELEA NA ZIARA YAKE ETHIOPIA.

Rais wa Marekani Barack Obama anaendelea na ziara yake nchini Ethiopia ambapo leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa muungano wa Afrika. Suala la usalama, demokrasia na utawala bora ni mada kuu alizozibeba More...

By sophia kessy On Tuesday, July 28th, 2015
0 Comments

MAHAKAMA NCHINI LIBYA YAAMURU KUNYONGWA KWA MTOTO WA GADAFI.

Mahakama moja nchini Libya imemuhukumu kumyonga mwana wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Gaddafi,Saif al Islam na wengine wanane kufuatia uhalifu wa kivita uliohusishwa na mapinduzi ya mwaka 2011. Walikuwa wameshtakiwa More...

By sophia kessy On Monday, July 27th, 2015
0 Comments

UKAWA YAMKARIBISHA LOWASSA.

NA JAMES LYATUU Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA hii leo wametangaza kumualika waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli EDWARD LOWASSA kujiunga na UKAWA huku wakiahidi kushirikiana nae kwa kila jambo kwa lengo More...

By sophia kessy On Sunday, July 26th, 2015
0 Comments

TIGO YAWASOGEZEA WANANCHI ILOLANGULU HUDUMA YA MAWASILIANO.

Kilio cha wananchi wa kata ya Ilolangulu Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita kukosa¬†mawasiliano tangu uhuru hatimaye kimesikika, baada ya Serikali na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kujenga mnara eneo hilo. Wakiongea More...