Date archive forJune, 2015
By sophia kessy On Wednesday, June 24th, 2015
0 Comments

WANACHAMA WA CCM WAJITOKEZA KUMDHAMINI DR. MWELE MALECELA.

Kuna ule usemi usemao ukimuelimisha mwanamke utakua umeielimisha jamii nzima kutokana na kuwa mwanamke ni mlezi wa familia na anayo nafasi kubwa ya kuwasaidia watu wanaomzunguka, kwakutambua adha ya changamoto zinazoikabili More...

By sophia kessy On Wednesday, June 24th, 2015
0 Comments

AIRTEL YATOA FUTARI KWA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.

WAUMINI wa dini ya kiislam wametakiwa kufunga ili kutekeleza ibada hiyo kikamilifu na kupata thawabu za MUNGU na kila aliejaaliwa kuwa nacho amsaidie asiyenacho kwa chochote. Wakati ibada hiyo ya funga ikiingia More...

By sophia kessy On Wednesday, June 24th, 2015
0 Comments

WAKAZI WA KOROGWE WATOA ANGALIZO KWA MBUNGE WAO.

Wakazi wa kijiji cha Kwashemshi Tarafa ya Magoma wilayani Korogwe Mkoani Tanga wamedai kusikitishwa na ahadi zisizotekelezeka kutoka kwa viongozi wao na kuahidi kuchukua hatua zaidi pale ambapo malalamiko yao hayatafanyiwa More...

By sophia kessy On Wednesday, June 24th, 2015
0 Comments

WATANZANIA WASHAURIWA KUJIWEKEA BIMA YA ELIMU.

Watanzania wamehimizwa kujiwekea bima ya elimu kwa faida yao pamoja na watoto wao pale kifo kinapotokea ili watoto wao waweze kuendelea na masomo na mitaji mingine ya kiuchumi. Wito huo umetolewa na mratibu wa bima More...

By sophia kessy On Wednesday, June 24th, 2015
0 Comments

MRADI WA VIWANJA KISARAWE WAPATA WAWEKEZAJI.

Katika kukuza uchumi kwa wakazi Halmashauri ya wilaya ya KISARAWE mkoa wa PWANI mradi wa uendelezaji wa viwanja katika mji mdogo wa Kisarawe uliopo kijiji cha visegese umeanza kupata wawekezaji kutoka nchini CHINA More...

By sophia kessy On Wednesday, June 24th, 2015
0 Comments

CCM YAPONDA KUPELEKWA BUNGENI MUSWADA WA SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI.

Chama Cha Mapinduzi CCM, kimeitaka Serikali kuondoa muswada wa habari bungeni ili kurudishwa kwa wadau ukajadiliwe upya, hiyo ni baada ya kuonekana kuwa na kasoro mbalimbali zinazolenga kubana uhuru wa vyombo vya More...

By sophia kessy On Monday, June 22nd, 2015
0 Comments

UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 80.

Tunapozungumzia madaraja marefu na makubwa ulimwenguni yaliyopita katikati ya bahari hutosita kutaja daraja Danyang –kunshan grand lililopo Beijing nchini china ambalo ndio daraja refu ulimwengunui likifuatiwa More...

By sophia kessy On Monday, June 22nd, 2015
0 Comments

RAISI MWINYI ASISITIZA AMANI NA UPENDO.

Ni miaka 20 sasa tangu aondoke madarakani katika ngazi ya Urais lakini mara kadhaa amesikika akihimiza ulinzi wa amani iliyopo nchini kutokana na umuhimu wa amani hiyo ambayo ni jukumu la kila mtu kuilinda. Ni Rais More...

By sophia kessy On Monday, June 22nd, 2015
0 Comments

PPF YAJIPANGA KUJENGA NYUMBA ZA BEI NAGFUU.

Moja ya changamoto kubwa inayowakabili Wananchi wengi ni pamoja na ukosefu wa Makazi bora hali ambayo imekuwa ikiyafanya Mashirika, na Mifuko mbalimbali nchini kuendelea na mikakati ya kuipatia ufumbuzi changamoto More...

By sophia kessy On Monday, June 22nd, 2015
0 Comments

CHAMA CHA WAZEE KIGOMA CHAFANYA KIKAO KUJADILI CHANGAMOTO ZAO.

Chama cha Wazee tawi la Kasulu mkoani Kigoma kimeamua kuitisha kikao cha chama chao, kilichoshirikisha waandishi wa habari ili kujadili vikwazo vinavyowakabili na kuuhabarisha  umma  ili kujenga weledi. Hayo yamesemwa More...