Published On: Wed, May 20th, 2015

PROFESA TWALIB NGOMA KUPATA TUNZO YA HESHIMA YA CHUO KIKUU CHA HAVARD.

Share This
Tags

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE enzi za uhai wake aliwahi kutamka maneno yafuatayoā€¯ Tanzania itapata umaarufu kote ulimwenginu endapo Watanzania wenyewe watakuwa tayari kulipa Taifa lao sifa na sio kulitia aibu.

Usemi huo umeeendelea kupata mashiko baada ya Daktari Maarufu Profesa TWALIB NGOMA kupata tunzo ya Heshima ya upambanaji wa dhati dhidi ya maradhi ya saratani tunzo iliyotolewa na Chuo kikuu ha HARVARD cha nchini MAREKANI

Unaweza ukajiuliza uhodari wa PROFFESSA NGOMA hadi kufikia kupata tunzo hii ya Heshima umetoka wapi, hapa Daktari huyo aliyezaliwa Desemba 5 Mwaka 1953 anaelezea Historia yake kwa Ufupi.

Licha ya jitihada kubwa anazozifanya katika kupambana na maradhi hayo Proffesa NGOMA anasema tatizo la Saratani halipewi kipaumbele barani Afrika hali inayosababisha kuwepo kwa ongezeko kubwa la waathirika wa maradhi hayo.

Lakini je upo wapi uwezo wa Serikali nyingi barani Afrika ikiwemo Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na maradhi hayo,

Akiizungumzia Tunzo hiyo ya Heshima aliyopewa na Chuo Kikuu cha HARVARD Proffessa NGOMA anaelezea jinsi alivyoipekea kwa furaha.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>