Published On: Mon, May 18th, 2015

BARABARA ZAWA KIKWAZO CHA UKUAJI WA UCHUMI.

Share This
Tags

Miundombinu isiyoridhisha katika baadhi ya Barabara imetajwa kuwa miongoni mwa vikwazo katika kuleta maendeleo hapa nchini na kusababisha kero kubwa kwa wasafirishaji wa mizigo na Abria.

HERMAN PAULO na LAURENT JONASI ni baadhi a ya madereva wanaotoa huduma ya usafirishaji wa mizigo na Abiria hapa wanaeleza changamoto ya ubovu wa barabara baada kukwama kwa zaidi ya saa 20 katika Barabara kuu ya NYAKANAZI hadi Kigoma, katika Kijiji cha Nduta wilayani Kibondo Mkoani humo, wakiwa na abiria kutoka maeneo mbambali kuelekea mkoani Kigoma.

Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Nduta wamesema, uharibifu wa miundombinu katika eneo hilo ni la muda mrefu.

HARUNA SHABANI ni Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni iliyopewa kazi ya kutengeneza barabara hiyo.

Kwa upande wake katibu Tawala, wailaya ya Kibondo AYUBU SEBABILI anakiri kuwepo kwa tatizo hilo…

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>