Date archive forMay, 2015
By sophia kessy On Sunday, May 31st, 2015
0 Comments

STEVEN WASIRA ATANGAZA NIA

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, amnabe pia ni Mbunge Bunda mkoani Mara, Steven Masato Wasira leo ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu utakaofanyikia More...

By sophia kessy On Sunday, May 31st, 2015
0 Comments

BLATTER AILAUMU UEFA NA MAREKANI

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter ameikashifu shirikisho la soka barani ulaya UEFA na Marekani kwa kuendesha kampeini ya kuipaka tope jina zuri la FIFA. Blatter ambaye ameanza muhula wake wa tano More...

By sophia kessy On Sunday, May 31st, 2015
0 Comments

NKURUNZINZA KUTOHUDHURIA MKUTANO TANZANIA HII LEO

CHANZO : BBC SWAHILI Msemaji wa rais wa Burundi amesema kuwa rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza hatahudhuria mkutano wa viongozi wa kikanda ambao utaangazia mzozo ulio nchini mwake. Msemaji huyo aliliambia shirika More...

By sophia kessy On Sunday, May 31st, 2015
0 Comments

LOWASA AIANZA SAFARI YA MATUMAINI JANA MKOANI ARUSHA

  Gari iliyombeba Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ikipita nje ya uwanja wa Sheih Amri Abeid, jijini Arusha More...

By sophia kessy On Friday, May 29th, 2015
0 Comments

RIPOTI YA LISHE YABAINISHA KUPUNGUA KWA UDUMAVU KWA WATOTO.

Ripoti ya Kimataifa ya lishe Duniani ambayo imetolewa leo Jijini Dar es salaam iliyohusisha nchi 193 Dunaini, inaonyesha kuwa tatizo la Watoto nchini wanaokabiliwa na udumavu limepungua, kutoka asilimia 42 hadi More...

By sophia kessy On Friday, May 29th, 2015
0 Comments

SESIKALI MTWARA YARIDHIA MGAWANYO WA MAJIMBO.

Serikali mkoani Mtwara imeridhia kugawanya majimbo baada ya kufanya kikao cha kamati ya ushauri cha mkoa (RCC), ili kuwafikishia wananchi huduma kwa ukaribu zaidi. Akizungumza kwenye kikao hicho Kaimu Mkuu wa Mkoa More...

By sophia kessy On Friday, May 29th, 2015
0 Comments

TAKUKURU YAWATAKA WANANCHI KUTORUBUNIWA NA RUSHWA.

Wakati watanzania wakijiandaa na uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu, kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewataka wananchi kutokubali kurubuniwa na wanasiasa, More...

By sophia kessy On Thursday, May 28th, 2015
0 Comments

UEFA YAITAKA FIFA KUHAIRISHA UCHAGUZI WA VIONGOZI.

Baada ya jana kushuhudia baadhi ya maofisa wa FIFA wakitiwa nguvuni kwa kile kinachodaia kujihusisha na rushwa katika michuano ya kombe la dunia,Shrikisho la soka Barani Ulaya UEFA limeitaka FIFA kuhairisha uchaguzi More...

By sophia kessy On Thursday, May 28th, 2015
0 Comments

HALMASHAURI MTWARA YAJIPANGA KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA.

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mtwara, imeadhimia kukopa shilingi milioni mia mbili na arobaini na sita katika taasisi ya fedha ya benki ya NMB kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa maabara ili kutimiza agizo la Rais kikwete More...

By sophia kessy On Thursday, May 28th, 2015
0 Comments

SERIKALI YASITISHA VIBALI VYA UVUNAJI MAZAO YA MISITU KALINA.

Serikali¬† wilayani Kaliua imesitisha utoaji wa vibali vya uvunaji wa mazao ya misitu msimu huu . Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Venance mwamoto alipokuwa akikagua mbao zilizokamatwa na malia asili More...