Date archive forApril, 2015
By sophia kessy On Thursday, April 30th, 2015
0 Comments

UHABA WA MADAWATI VIJIJINI

Kamati za shule zimetakiwa kusimamia ukarabati wa madawati ili wanafunzi waweze kusoma vizuri kutokana na uhaba wa madawati unaozikabili shule nyingi hasa zilizopo vijijini. Akiongea na wananchi wa kijiji cha MANOLEO More...

By sophia kessy On Thursday, April 30th, 2015
0 Comments

MGOGORO KATI YA MBOMIPA NA WAWEKEZAJI

Waziri wa Maliasli na Utalii RAZALO NYALANDU ameziamuru jumuiya zote za Hifadhi ya Jamii (WMA) hapa nchini kutoingia mikataba na wawekezaji bila ya kupitiwa na kuthibitishwa na Wizara yake anayoisimamia. NYALANDU More...

By sophia kessy On Thursday, April 30th, 2015
0 Comments

WANACHI CHANGIENI HUDUMA YA AFYA

Wakazi wa kijiji cha MAZINDE kilichopo katika Kata ya MAZINDE Tarafa ya MOMBO Wilayani Korogwe wametakiwa kujiunga na kuchangia mfuko wa Bima ya Afya ya jamii ili kupata unafuu wa matibabu katika kaya zao Wito huo More...

By sophia kessy On Thursday, April 30th, 2015
0 Comments

IDADI YA WANAOJIUNGA CHF LINDI IKOCHINI

WANANCHI wilayani KILWA, mkoani LINDI, wametakiwa kutambua umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF, ili waweze kutibiwa kwa uraisi pindi wanapougua. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, ABDALLAH More...

By sophia kessy On Thursday, April 30th, 2015
0 Comments

CWT MARA, WAPINGA AGIZO LA MKUU WA MKOA

Wakati serikali mkoani MARA iweka mikakati kuhakikisha kiwango cha ufaulu katika shule za msingi kinaongezeka, huenda mkakati huo ukagonga mwamba, baada chama cha walimu   Tanzania CWT mkoa wa MARA kupinga agizo More...

By sophia kessy On Tuesday, April 28th, 2015
0 Comments

BAYEN MUNICH YA UJERUMANI YA TWAA TAJI LA LIGI KUU YA NCHI HIYO

Klabu ya soka ya Ujerumani Bayern Munich ya Ujerumani imenyakuwa taji la ligi kuu ya nchi hiyo kwa mara ya tatu mfululizo , huku shukrani zikienda kwa klabu ya soka ya Borussia Monchengladbach kwa kuichabanga Wolfsburg More...

By sophia kessy On Tuesday, April 28th, 2015
0 Comments

MAKOCHA MSAIDIENI KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA MART NOIIJ

Makocha wakufunzi nchini wameombwa kumsaidia Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mart Noiij ili aweze kupata timu bora itakayoweza kuipeperusha bendera ya Tanzania vizuri katika michuano mbalimbali ya kimataifa itakayokuwa More...

By sophia kessy On Tuesday, April 28th, 2015
0 Comments

YANGA BINGWA 2014/2015

Hao ni baadhi ya mashabiki wa  timu ya Yanga wakifurahia kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara , baada ya kuitandika Polisi Moro mabao manne kwa moja katika mchezo wa ligi hiyo hii leo. Yanga imetwaa rasmi More...

By sophia kessy On Tuesday, April 28th, 2015
0 Comments

MANISPAA YA TABORA KUANISHA CHUO CHA UALIMU

HALMASHAURI ya Manispaa ya TABORA,imetakiwa kutumia fursa ya kuanzishwa Chuo cha ualimu katika manispaa ya tabora ili walimu wake waweze kujiendeleza huku wakiendelea na kazi ya kufundisha wanafunzi. Mkurugenzi More...

By sophia kessy On Tuesday, April 28th, 2015
0 Comments

UFUNGAJI VIAZI RUMBESA WASABABISHA HASARA KWA WAKULIMA

Mkuu wa mkoa wa NJOMBE docta REHEMA NCHIMBI, ameagiza baraza la madiwani La halmashauri ya mji wa njombe kutafuta namna ya kudhibiti biashara ya Viazi inayoyofungwa kwa mfumo wa lumbesa ili kunuru hasara wanayoipata More...