Date archive forMarch, 2015
By sophia kessy On Tuesday, March 31st, 2015
0 Comments

BALTON TANZANIA YAAHIDI KUWASAIDIA WAKULIMA.

Na JAMES LYATUU   Imeelezwa kuwa Ukosefu wa elimu ya kilimo na taarifa muhimu za kuzingatia katika kuelekea msimu wa kilimo, kunatajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea wakulima wengi kufanya kilimo cha More...

By sophia kessy On Tuesday, March 31st, 2015
0 Comments

KIGOMA YAENDELEA KUZALISHA KAHAWA BORA NA ZENYE UBORA KIMATAIFA.

Katika miaka michache ijayo huenda Tanzania ikawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika soko la dunia kutokana na kahawa yenye ubora inayozalishwa mkoani Kigoma. Akitoa taarifa kwa mabalozi tisa kutoka nchi More...

By sophia kessy On Tuesday, March 31st, 2015
0 Comments

NDUGAI AIBUKA BUNGENI KWA KISHINDO.

Na JEROME RISASI. Baada ya kutoonekana Bungeni kwenye Vikao vya Bunge zaidi ya 35 na kuzua sintofahamu miongoni mwa Wabunge, Wananchi na wadau wengine wa maendeleo, hatimaye Naibu Spika wa Bunge JOB NDUGAI leo amehudhuria More...

By sophia kessy On Friday, March 27th, 2015
0 Comments

MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI WAJITOSA KUWASAIDIA WATOTO WA MITAANI.

Tatizo la Watoto waishio katika mazingira magumu linaendelea kushika kasi nchini ambapo kwa Jiji la Dar es salaam pekee Watoto 13,468 wanaoishi katika mazingira hayo wametambuliwa. Kati ya Watoto hao, Wasichana More...

By sophia kessy On Friday, March 27th, 2015
0 Comments

WAANDISHI WASHAURIWA KUWA WAADILIFU.

Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) imewataka wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali nchini pamoja na waandaaji wa vipindi vya RADIO na RUNINGA, kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria zinazosimamiwa More...

By sophia kessy On Friday, March 27th, 2015
0 Comments

SUALA LA MAJI BADO KITENDAWILI KWA WATANZANIA.

Na SALUMU MWINYI MKUU   Takwimu za Serikali zinaonesha kuwa asilimia 40 ya Watanzania ndio wanafikiwa na huduma ya maji safi kwenye maeneo ya vijijini, huku takribani vifo vya watoto 20,000 vikitokea kila mwaka More...

By sophia kessy On Thursday, March 26th, 2015
0 Comments

PSPF YAWAHAKIKISHIA HUDUMA BORA WANACHAMA WAKE.

Na JAMES LYATUU   Mfuko wa pensheni wa PSPF umeeleza kuwa utaendelea kutoa huduma bora za hifadhi ya jamii na kuwahudumia wanachama wake kwa kuwapatia huduma zenye ushindani katika sekta ya hifadhi ya jamii More...

By sophia kessy On Thursday, March 26th, 2015
0 Comments

WAFANYABIASHARA NJOMBE WAENDELEA NA MGOMO.

Wafanyabiashara wa maduka mkoani Njombe hii leo, wameeendelea na mgomo kwa kufunga maduka kwa kile wanachodai kuwa, ni kuungana na mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara JOHN MINJA, ambaye amepandishwa kizimbani More...

By sophia kessy On Thursday, March 26th, 2015
0 Comments

MCT YAANZA MCHAKATO WA KUMSAKA MWANDISHI BORA.

Na JAMES LYATUU   Baraza la habari Tanzania MCT limetoa idadi ya kazi zilizowasilishwa, kwa ajili ya kushindaniwa katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania 2014, ambapo takribani kazi 959 zimepokelewa, More...

By sophia kessy On Thursday, March 26th, 2015
0 Comments

RAISI KIKWETE APONGEZA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA.

Na NTIBASHIMA EDWARD   Rais DK JAKAYA KIKWETE ameeleza kuridhishwa na juhudi zilizofanywa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), na Kampuni ya Upakuaji Makontena Bandarini (TICTS), katika kukabiliana na matatizo More...