Published On: Tue, Feb 3rd, 2015

VIDEO ZITTO KABWE #TANZANIA YAPOTEZA BILIONI 80 KUTOKANA KUTOKUSANYWA MAPATO YA TOZO KWA WATALII

Share This
Tags

Kama ulikosa kuona bunge jana hiki ndicho alichokisema Mbunge wa Kigoma Mh. Zitto Kabwe amesema anailaumu Wizara ya Mali Asili na Utalii kwa ucheleweshaji wa utoaji matangazo ya matumizi ya tozo mpya ili kuongeza mapato.

video hii ni kwa hisani ya star Tv

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>