Date archive forFebruary, 2015
By sophia kessy On Saturday, February 28th, 2015
0 Comments

KAPTEN JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA.

NA JAMES LYATUU Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Kapteni John Komba amefariki dunia katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam. Mpaka kufa kwake Kapteni John Komba alikuwa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

BIASHARA YA PWEZA YAINGIA DOSARI

Kufuatia uvumi kwenye mitandao ya kijamii kwamba wafanyabiashara ya supu ya pweza wanaweka dawa za kuongeza nguvu za kiume ili kusisimua miili ya wateja wao, Austin Beyadi amefanya uchunguzi kubaini ukweli wa taarifa More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

JICHO LA MWEWE LATUA KIVUKO HATARISHI MTWARA

   More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

WATANZANIA TUUNGANE KWA PAMOJA TUPINGE MAUWAJI YA ALIBINO

Mwaka 2009 Serikali iliendesha kura za maoni katika kanda saba ili kuwabaini watu wanaojihusisha na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino, ambapo katika kipindi hicho tu pekee walemavu 43 waliuawa. Miaka More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

TANZANIA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA MBALIMBALI

Tanzania inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa madaktari Bingwa wa magonjwa mbalimbali hasa katika hospitali za mikoani hali ambayo hulazimu baadhi ya wagonjwa kupatiwa rufaa ya kwenda kutibiwa katika hospitali More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

MICHUANO YA EUROPA LIGI ITAAENDELEA IKIWA NI HATUA YA MTOANO.

Baada ya kushuhudia michezo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hapo jana, hii leo michuano ya Europa Ligi itaaendelea ikiwa ni hatua ya mtoano. Nchini Italia kutafanyika michezo miwili mikubwa ambapo Inter Milan More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

CHAMA CHA SOKA NCHINI MISRI (EFA) KIMESEMA KUWA LIGI YA NCHINI HUMO KURUDIWA MWEZI WA TATU

Chama cha soka nchini Misri (EFA) kimesema kuwa Ligi ya nchini humo itarudi mwezi wa tatu lakini hakuna nafasi kwa mashabiki kuhudhuria michezo ya Ligi hiyo. Taarifa hiyo imetolewa na mmoja kati ya wajumbe wa kamati More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

WAWEKEZAJI WAZAWA WALALAMIKIA KUTOPEWA FURSA YA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA MAFUTA NA GESI.

Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuanzisha biashara kutokana na kukosa uthubutu wa kuanza biashara au kukosa mitaji ya kuendesha biashara hizo licha ya kuwepo kwa rai ambayo hutolewa na Serikali mara kwa mara kuwataka More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

TANZANIA NA ZAMBIA ZIMEINGIA MAKUBALIANO YA KUSHIRIKIANANO

Tanzania na Zambia zimeingia makubaliano ya kushirikiana na kuimarisha sekta ya miundombinu hususani kuboresha Reli inayounganisha nchi hizo mbili (TAZARA) ili kukuza biashara na uwekezaji. Makubaliano hayo yanayolenga More...

By sophia kessy On Friday, February 27th, 2015
0 Comments

UKATILI KWA WANAWAKE WANAOISHI NA VVU WATAJWA KUWA MKUBWA ZAIDI .

Mara nyingi wanandoa wamekuwa wakifanya jitihada za kujiletea maendeleo kwa manufaa ya familia zao ambapo baadhi yao hulazimika kujinyima na kuishi maisha ya dhiki ili angalau wajitengenezee maisha bora ya hapo More...