Published On: Tue, Jan 27th, 2015

MADUKA YA SOKO LA KARIAKOO YAFUNGWA TENA

Share This
Tags

Mwaka 2014 ulikuwa ni mwaka ambao taarifa za Wafanyabiashara wa mikoa mbalimbali kugoma zilitawala sana,ilianzia Dar es salaam baadae ikasikika Mbeya wamegoma nao mwishoni pia tukasikia na Mwanza nao waligoma.

Leo wafanyabiashara wa Kariakoo wamefunga tena maduka yao na hivi sasa inasemekana wamefanya hivyo kama kushinikiza kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa jumuiya ya Wafanyabiashara Bw Johnson Minja ambaye inadaiwa amekamatwa jioni ya jana na kushikiliwa kwenye kituo cha Polisi cha Kamata.

Posted By

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>