Date archive forJanuary, 2015
By sophia kessy On Saturday, January 31st, 2015
0 Comments

SIMBA YAFIKIA NAFASI YA SABA BAADA YA KUIFUNGA JKT RUVU 02-01.

Na JACOB MBUYA. Baada ya kushuhudia mchezo wa kiporo kati ya Simba sports club dhidi ya Mbeya city siku ya jumatano leo hii Simba imeingia msituni kutafuta alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara More...

By sophia kessy On Saturday, January 31st, 2015
0 Comments

BAN KI-MOON APENDEKEZA KUUNDWA KWA KIKOSI CHA KANDA UMOJA WA MATAIFA KUKABILIANA NA KUNDI LA BOKO HARAMU.

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon ametoa pendekezo kwa Umoja wa Afrika kuunda kikosi cha kanda, cha mataifa matano kikiwa na wanajeshi 7,500 ili kupambana na wanamgambo wa Nigeria wa Boko Haram. Katibu More...

By sophia kessy On Saturday, January 31st, 2015
0 Comments

WAISLAMU WAASWA KULINDA AMANI NA MSHIKAMATO KWA TAIFA.

Na JAMES LYATUU Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuhakikisha wanalinda amani na mshikamano na kuepuka kuanzisha makundi yanayokwenda kinyume na maadili ya Kiislamu jambo ambalo halitoi taswira nzuri kwa dini More...

By sophia kessy On Saturday, January 31st, 2015
0 Comments

PROF.SOSPETER MUHONGO AKABIDHI RASMI OFISI KWA MHE. SIMBA CHAWENE

Na Aziz Kindamba. “Profesa aliyekamilika hufurahi pale anapomuona Mwanafunzi wake amekuwa Profesa nami leo nafurahi kuona Mtu aliyekuwa Naibu wangu leo amefanikiwa kuwa Waziri akishika wadhifa wangu” Ni kauli More...

By sophia kessy On Saturday, January 31st, 2015
0 Comments

CHAMA CHA WAFAMASIA TANZANIA (PST) CHALALAMIKIA UTARATIBU WA UTOAJI HUDUMA ZA KIFAMASIA NCHINI.

Na OSCAR JOB CHAMA cha wafamasia Tanzania (PST)kimelalamikia utaratibu wa utoaji huduma za kifamasia nchini kwa madai ya kuwepo kwa taratibu mbalimbali za utoaji wa huduma hizo zinazokiuka usimamizi wa sheria za More...

By sophia kessy On Friday, January 30th, 2015
0 Comments

WIZI NA UBADHIRIFU WA FEDHA SERIKALINI WALALAMIKIWA NA WABUNGE.

By Rachel Chizoza:     Wizi na ubadhirifu wa fedha serikalini umelalamikiwa na wabunge, na kuitaka Serikali kuanza kuchukua hatua, ili kuwasaidia wananchi kupata huduma muhimu kwa kuwawajibisha wote wanaohusika More...

By sophia kessy On Friday, January 30th, 2015
0 Comments

JUMUIYA YA VIJANA YA CHAMA CHA WANANCHI JUVICUF YAMTAKA IGP KUJENGA HOJA ZA KURIDHISHA

Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi-JUVICUF, imemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP ERNEST MANGU kujenga hoja mbele ya umma juu ya sababu za Polisi kuzuia maandamano ya chama hicho, baada ya kutoridhishwa More...

By sophia kessy On Friday, January 30th, 2015
0 Comments

SEKTA YA UTALII KUAJIRI WATANZANIA WENGI ZAIDI

By Austin Beyadi :   Licha ya sekta ya utalii kuwa ni mchangiaji mkubwa wa uchumi wa Tanzania, Toleo jipya la Hali ya Uchumi nchini lililotolewa na Benki ya Dunia linadai kwamba sekta hii inaweza kukua na kujenga More...

By sophia kessy On Friday, January 30th, 2015
0 Comments

GUINEA YAFUZU ROBO FAINALI

  By Edgar Kibwana:   Baada ya Sintofahamu ya muda mrefu kuhusu nani ataungana na timu ya taifa ya Ivory Coast katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika,hatimaye sintofahamu hiyo imepatiwa More...

By sophia kessy On Friday, January 30th, 2015
0 Comments

MASHABIKI WATUPIA LAWAMA UONGOZI WA SIMBA

  By Fatma Likwata Tumezoea kukutana kuanua matanga na kuomboleza msiba baada ya siku kadhaa, na kwa kawaida kwenye msiba wowote hakukosi manung’uniko ya watu, huyu akimtuhumu fulani kwa kifo cha marehemu More...