HAYA NDIO MATUNDA YA VITA DHIDI YA UJANGILI

Vita dhidi ya Ujangili wa Tembo katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha imeanza kuzaa matunda, kutokana na mikakati mbalimbali inayoendelea kuwekwa na na kutekelezwa na mamlaka zinazosimamia hifadhi hiyo More...
Bei ya jumla ya maharage imeshuka katika mikoa mingi nchini Tanzania.

Haya ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya kila wiki iliyotolewa na Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji ambayo imeonesha kuwa bei ya jumla ya maharage imeshuka katika mikoa mingi More...
Tanzania Mafisa wapinga marufuku karoti kutoka kenya

Mkuu mpya wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametangaza kupigwa marufuku kwa karoti kutoka kenya ili kulinda wazalishaji wa ndani kutoka kwa ushindani. Aidha amesema wakulima More...
UberBoat: Kampuni ya Uber kuanzisha usafiri wa boti Tanzania

Kampuni ya huduma za usafiri inayotumia programu tumishi Uber imetangaza mpango wa kuanzisha huduma za boti Tanzania. Kampuni hiyo kufikia sasa imekuwa ikitoa huduma za usafiri More...

HAYA NDIO MATUNDA YA VITA DHIDI YA UJANGILI
Vita dhidi ya Ujangili wa Tembo katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha imeanza kuzaa matunda, kutokana na mikakati mbalimbali inayoendelea kuwekwa na na kutekelezwa na mamlaka More...
IGP asema haki itatendeka kwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi
Mkuu wa jeshi la polisi nchini SIMON SIRO Amesema bado wanaendelea kufuatilia na kuchunguza tukio la kuteswa na kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio cha jijini More...
BENK 5 ZAFUNGWA KWA KUSHINDWA KUTIMIZA MATAKWA

Benki kuu ya Tanzania imezifungia na kusitisha shughuli za kibenki kwa benki tano zilizokuwa zinafanyabiashara zake hapa More...
MOTO WATEKETEZA SOKO LA GIKOMBA, KENYA

Mali ya thamani ya mamilioni ya pesa imeteketea baada ya moto kuzuka katika soko kuu la wazi nchini kenya, soko More...
Warembo 16 katika shindano la ‘Miss Burundi’ wajiondoa
Wasichana 16 kutoka mikoa ya Burundi waliokuwa wamefika kwenye fainali ya mashindano ya kumteua msichana mrembo...
Shuga Shaa kufunga ndoa na mwanasesere Nigeria
Muigizaji wa Nigeria na mchekeshaji Benjamin Nwachukwu, anayejulikana na mashabiki wake kwa jina Shuga Shaa, amezua...
Shakira hakuwa na matumaini ya kuimba tena baada ya kupoteza sauti
Baada ya kuahirisha ziara yake ya muziki ya El Dorado kwa miezi saba kutokana na tatizo...
Wanandoa wanaotafuta vizazi vya kukopesha waelekea Ukraine

Ukraine, ni miongoni mwa mataifa masikini barani Ulaya , na More...
Kevin de Bruyne: Kiungo wa Man City aumia akifanya mazoezi

Nyota wa Manchester City Kevin de Bruyne anachunguzwa zaidi kwenye goti lake la kulia baada ya kuumia akishiriki More...
UEFA Super Cup: Atletico Madrid wawashinda Real Madrid 4-2 mechi yao ya kwanza bila Cristiano Ronaldo
Real Madrid walianza maisha bila mshambuliaji wao nyota wa zamani Cristiano Ronaldo na meneja Zinedine Zidane kwa kushindwa 4-2 katika debi..Soka, Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Sababu za kutotumia uwanja mkuu wa Taifa
Kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019 August 22 2018 Bodi ya Ligi soka Tanzania bara imetangaza mabadiliko..Mwili wa Jonas Savimbi kufukuliwa na kupewa maziko mazuri Angola

Mwili wa aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola Jonas Savimbi utafukuliwa kabla ya mwisho wa mwaka huu ili More...
Aliyekuwa rais maskini zaidi duniani akataa malipo ya uzeeni
Aliyekua rais wa Uruguay Jose Mujica, aliyejulikana kama rais maskini zaidi duniani amesema hatachukua malipo yake ya uzeeni tangu aanze kuhudumu..Dereva wa mbunge Bobi Wine auawa kwa kupigwa risasi Uganda
Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine anadai kuwa dereva wake ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi akiwa ndani..HAYA NDIO MATUNDA YA VITA DHIDI YA UJANGILI

Matangazo ya vyakula mitandaoni huponza watoto


TEKNOLOJIA AMBAYO ITASAIDIA CHANJO YA WATOTO KUTOLEWA MARA MOJA YABUNIWA
Teknolojia ambayo huenda ikapelekea chanjo ya watoto kutolewa mara moja kwa kila mtoto imebuniwa na watafiti nchini Marekani. Chanjo hiyo itakayotolewa..
Mycoplasma Genitalium: Mambo muhimu kuhusu ugonjwa wa zinaa wa MGen unaokuwa sugu na kuzua wasiwasi duniani
Wataalamu maeneo mbalimbali duniani, wametoa tahadhari kuhusu ugonjwa mpya wa zinaa ambao unaonesha dalili za kutosikia dawa na kuzua wasiwasi sawa..